Swali: Ni sahihi kwamba inatakiwa kujadiliana na mpinzani kwa mantiki yake, fikira zake na madhehebu yake na si kwa mantiki na madhehebu yako?

Jibu: Usijadiliane naye si kwa mantiki yake wala yako. Jadiliana naye kwa dalili kutoka katika Qur-aan na Sunnah. Jadiliana naye kwa dalili ya Qur-aan na Sunnah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (02) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdh–14340204.mp3
  • Imechapishwa: 25/08/2020