Ujuzi wa shahaadah kabla ya kusilimu

Swali: Inatosheleza kwa mtu ambaye sio mwarabu kutamka tu shahaadah au ni lazima kwanza kumfasiria nayo?

Jibu: Ni lazima kwanza kumfasiria nayo. Ataitamkaje pasi na kuelewa maana yake? Atatamka kitu asichojua maana yake? Ni lazima kwanza aamini maana yake, kitu ambacho hawezi kukifikia mpaka kwanza ajue maana yake na afafanuliwa maana yake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (26) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tafsir%20ayat-03-08-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 21/06/2020