Swali: Kuna mtu amemfungia mwanawe chooni. Aswali huko? Je, baba anapata dhambi kwa kitendo chake?

Jibu: Asiswali isipokuwa pale atapochelea wakati wa swalah kutoka. Akichelea wakati wa swalah kutoka ndipo aswali katika hali yake hata kama itakuwa chooni. Haijuzu kwa baba kumfanyia mwanawe wala mtu mwingine namna hii. Muumini ana heshima yake. Asifungiwe chooni.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (26) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tafsir%20ayat-03-08-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 21/06/2020