Swali: Kuna mtu ameoa na amezaa na mke wake watoto. Kisha baadaye ikaionekana kuwa mke wake alinyonyeshwa na mama yake. Ni ipi hukumu kwa hili?
Jibu: Huyu aenda kwa Qaadhiy. Huyu aenda kwa Qaadhiy na amlete mnyonyaji na amuulize. Unyonyaji ukisihi kwa masharti yake watenganishwe. Watoto ni wa kwake kwa kuwa wanaingia katika watoto walio na utata. Wanamfuata [baba yao]. Qaadhiy ndiye ana haki ya kuwatenganisha.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (58) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-01-14.mp3
- Imechapishwa: 21/08/2020
Swali: Kuna mtu ameoa na amezaa na mke wake watoto. Kisha baadaye ikaionekana kuwa mke wake alinyonyeshwa na mama yake. Ni ipi hukumu kwa hili?
Jibu: Huyu aenda kwa Qaadhiy. Huyu aenda kwa Qaadhiy na amlete mnyonyaji na amuulize. Unyonyaji ukisihi kwa masharti yake watenganishwe. Watoto ni wa kwake kwa kuwa wanaingia katika watoto walio na utata. Wanamfuata [baba yao]. Qaadhiy ndiye ana haki ya kuwatenganisha.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (58) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-01-14.mp3
Imechapishwa: 21/08/2020
https://firqatunnajia.com/uhakikishaji-wa-kunyonya-kati-ya-wanandugu-unafanywa-na-qaadhiy/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)