Swali: Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Yeyote ambaye Allaah anamtakia kheri, basi humjaalia akaifahamu dini.”
Je, kunakusudiwa uelewa katika tanzu au misingi na Tawhiyd?
Jibu: Hapana shaka kwamba ni yote mawili; uelewa katika misingi na tanzu. Dini imekusanya yote mawili.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (35)
- Imechapishwa: 28/09/2023