Swali: Mtu akemee vipi maovu yanayofanywa na baba yake?

Jibu: Mnasihi. Mnasihi kwa urafiki, kwa hekima na ufanye upole kwa baba yako pengine Allaah akamwongoza.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (35)
  • Imechapishwa: 28/09/2023