Swali: Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Swawm bora baada ya Ramadhaan ni mwezi wa Allaah Muharram.”

Kunakusudiwa ´Aashuuraa´ – ile siku ya kumi – au mwezi mzima?

Jibu: Mwezi mzima. Asipoweza kufunga mwezi wote na akafunga tarehe 10, 09 au 11 ni sawa – Allaah akitaka.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22626/هل-فضل-صيام-المحرم-يقصد-به-عاشوراء
  • Imechapishwa: 14/07/2023