Swali:Je, inafaa kwa mwanamke kumkatalia mume wake kitandani akifanya mapungufu katika haki zake?

Jibu: Ndio, inafaa kwake kujizuia nafsi yake kutokana naye mpaka mwa mfano ampe mahari yake, matumizi yake n.k. Huu ni uasi wa mwanamke wa haki. Inafaa kwake mwanamke kufanya hivo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ta´liyqaat ´alaa Risaalah wujuub-il-´Amr bil-Ma´ruuf wan-Nahiy ´an al-Munkar (03)
  • Imechapishwa: 16/06/2015