Swali: Kuna mtu anaombwa pesa na mama yake ili awape watoto wake wakubwa na hilo linawafanya kukosa ajira na kufanya kazi. Je, akimuomba pesa kwa lengo hili ampe?
Jibu: Ikiwa anchukua mali kutoka kwako na kuwapa ndugu zako hili halijuzu kwake yeye. Ama kuhusu wewe mpe ili uweze kumridhisha. Kuhusu ya kwamba anazitumia kwa njia ya kinyume yeye ndiye ataulizwa juu ya hilo. Lakini hata hivyo yeye asimnyime pesa maadamu ana uwezo wa kufanya hivo.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/al_makruf%203-12-08-1433.mp3
- Imechapishwa: 16/06/2015
Swali: Kuna mtu anaombwa pesa na mama yake ili awape watoto wake wakubwa na hilo linawafanya kukosa ajira na kufanya kazi. Je, akimuomba pesa kwa lengo hili ampe?
Jibu: Ikiwa anchukua mali kutoka kwako na kuwapa ndugu zako hili halijuzu kwake yeye. Ama kuhusu wewe mpe ili uweze kumridhisha. Kuhusu ya kwamba anazitumia kwa njia ya kinyume yeye ndiye ataulizwa juu ya hilo. Lakini hata hivyo yeye asimnyime pesa maadamu ana uwezo wa kufanya hivo.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/al_makruf%203-12-08-1433.mp3
Imechapishwa: 16/06/2015
https://firqatunnajia.com/mama-ananiomba-pesa-ili-awape-wadogo-zangu-wasotaka-kufanya-kazi/