Twawaaf juu ya kipando bila ya dharurah

Swali: Kufanya Tawaaf juu ya kipando pasi na haja?

Jibu: Haitakikani isipokuwa kukiwepo dharurah kama vile uzee na maradhi. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alitufu hali ya kupanda kipando wakati watu walipokhofia juu yake.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23317/هل-يجوز-الطواف-راكبا-لغير-حاجة
  • Imechapishwa: 23/12/2023