Swali: Je, imeshurutishwa kuwa na twahara wakati wa kuswalia jeneza?
Jibu: Ndio. Miongoni mwa masharti ya kusihi swalah ya jeneza ni kuwa na twahara. Mtu amtawadhishe maiti anayeswaliwa na mswalaji naye pia atawadhe. Hili ni lazima kwa kuwa ni swalah. Miongoni mwa masharti ya kusihi kwa swalah ni twahara.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (51) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-10-11.mp3
- Imechapishwa: 21/08/2020
Swali: Je, imeshurutishwa kuwa na twahara wakati wa kuswalia jeneza?
Jibu: Ndio. Miongoni mwa masharti ya kusihi swalah ya jeneza ni kuwa na twahara. Mtu amtawadhishe maiti anayeswaliwa na mswalaji naye pia atawadhe. Hili ni lazima kwa kuwa ni swalah. Miongoni mwa masharti ya kusihi kwa swalah ni twahara.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (51) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-10-11.mp3
Imechapishwa: 21/08/2020
https://firqatunnajia.com/twahara-wakati-wa-kumswalia-maiti/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)