Swali: Kuingiza TV nyumbani ni kama kuingiza picha na inazuia kuingia kwa Malaika?

Jibu: Picha haibaki kwenye TV. Hujitokeza kwenye kio na kuondoka. Lakini tatizo ni zile barnamiji zinazowekwa kwenye TV ndio zinazozingatiwa kama zitakuwa ni barnamiji nzuri au mbaya. Mara nyingi inakuwa si barnamiji nzuri. Hata kama kutapatikana kitu kidogo katika barnamiji nzuri mara nyingi kunakuwa barnamiji nyingi zisizokuwa nzuri. Mtu kuepukana nayo, kuiepusha nyumbani, watoto na wanawake, ni bora zaidi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (09) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1427-4-3.mp3
  • Imechapishwa: 19/08/2020