Swali: Je, tuwapige vita Takfiyriyyuun?
Jibu: Tunawapiga vita tu pale ambapo wataanza wao kutupiga vita na tunaona kuwa wanaudhuru Uislamu na Waislamu. Katika hali hiyo tutafanya alichofanya ´Aliy bin Abiy Twaalib (Radhiya Allaahu ´anhu). La sivyo ni haramu kumwaga damu ya muislamu. Inajuzu kuwapiga vita ikiwa wao wataanza kuwavamia Waislamu au ikiwa kama hawafanyi tisho dhidi ya waislamu.
- Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fadhwaaih wa Naswaaih, uk. 186
- Imechapishwa: 26/08/2020
Swali: Je, tuwapige vita Takfiyriyyuun?
Jibu: Tunawapiga vita tu pale ambapo wataanza wao kutupiga vita na tunaona kuwa wanaudhuru Uislamu na Waislamu. Katika hali hiyo tutafanya alichofanya ´Aliy bin Abiy Twaalib (Radhiya Allaahu ´anhu). La sivyo ni haramu kumwaga damu ya muislamu. Inajuzu kuwapiga vita ikiwa wao wataanza kuwavamia Waislamu au ikiwa kama hawafanyi tisho dhidi ya waislamu.
Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fadhwaaih wa Naswaaih, uk. 186
Imechapishwa: 26/08/2020
https://firqatunnajia.com/tuwapige-vita-takfiyriyyuun/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket