Swali: Tusome Fiqh na sarufi kwa mtu ambaye ´Aqiydah yake ni Ash´ariy?
Jibu: Allaah hakukudharurisheni mpaka muwe na haja ya mwalimu ambaye ´Aqiydah yake ni Asha´ariy. Mtapata – Allaah akitaka – mwalimu ambaye ana ´Aqiydah ya Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah. Jitahidi katika hilo.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (19) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf%2030-7-1434_01.mp3
- Imechapishwa: 17/06/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)