Swali: Ni ipi hukumu ya misahafu kuwa kwenye kabati ya vitabu nyuma ya waswaliji ambapo wanazigeuzia mgongo wakati wa kuswali?

Jibu: Hakuna tatizo. Ni sawa. Misahafu inakuwa kwenye kabati ya vitabu hata kama itakuwa nyuma ya waswilaji.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (19) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf%2030-7-1434_01.mp3
  • Imechapishwa: 17/06/2020