Vaa vizuri bila ya kujikakama

Swali: Nini maana ya Hadiyth isemayo:

“Uchanikaji ni katika imani.”[1]

Jibu: Bi maana kutojikalifisha. Kwa mfano wa kutojikalifisha katika mavazi. Mtu avae vizuri lakini asijikakame na akatoka nje.

[1] Swahiyh kwa mujibu wa al-Albaaniy katika ”Swahiyh Sunan Abiy Daawuud” (4161).

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (19) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf%2030-7-1434_01.mp3
  • Imechapishwa: 17/06/2020