Tofauti Kati Ya Sifa Za Dhati Na Za Kimatendo

Swali: Je, kuna tofauti kati ya Sifa za dhati na Sifa za kimatendo?

Jibu: Ndio. Sifa za dhati haziachani katu na dhati. Sifa za kimatendo Allaah Anazifanya pale Anapotaka. Alizungumza. Hili linahusiana na hapo kale. Anazungumza. Hili linahusiana na wakati wa sasa na huko mbeleni. Anazungumza pale Anapotaka.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (09) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/qir–14340324.mp3
  • Imechapishwa: 27/06/2015