Tayammum sio mkono mzima, bali ni viganja vya mikono peke yake

Swali: al-´Ayniy amesema kuhusu Hadiyth inayozungumzia kufuta uso na mikono yake (ذراعيه) kwamba Imaam al-Baghawiy amehukumu Hadiyth hiyo kuwa nzuri.

Jibu: Hapana, ni kosa. Sahihi ni uso na viganja vya mikono peke yake, kama ilivyopokelewa katika Hadiyth ya ´Ammaar na wengineo. Tayammum inakuwa katika viganja vya mikono peke yake.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23568/%D9%87%D9%84-%D8%B5%D8%AD-%D8%AD%D8%AF%D9%8A%D8%AB%C2%A0%D9%85%D8%B3%D8%AD-%D8%A7%D9%84%D8%B0%D8%B1%D8%A7%D8%B9%D9%8A%D9%86-%D9%81%D9%8A-%D8%A7%D9%84%D8%AA%D9%8A%D9%85%D9%85
  • Imechapishwa: 11/02/2024