Tayammum kwa ajili ya kuwahi swalah ya jeneza

Swali: Ambaye anachelea kukosa swalah ya jeneza afanye Tayammum ili isimpite?

Jibu: Hapana, halina msingi:

فَلَمْ تَجِدُوا مَاءً فَتَيَمَّمُوا صَعِيدًا طَيِّبًا

“… na msipate maji, basi kusudieni [fanyeni Tayammum kwa] udongo ulio safi.”[1]

[1] 05:06

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23573/هل-يتيمم-من-يخشي-فوت-صلاة-الجنازة
  • Imechapishwa: 15/02/2024