Swali: Kuhusu swalah ya Tarawiyh ni bora kuiswali nyumbani au pamoja na mkusanyiko msikitini?
Jibu: Bora ni pamoja na mkusanyiko msikitini. Tarawiyh ni alama miongoni mwa alama za Kiislamu zilizo wazi. Hivyo aswali Tarawiyh pamoja na mkusanyiko msikitini. Hata hivyo ikiwa ataiswali nyumbani pia ni sawa.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/liqu-%2020-08-1435.mp3
Swali: Kuhusu swalah ya Tarawiyh ni bora kuiswali nyumbani au pamoja na mkusanyiko msikitini?
Jibu: Bora ni pamoja na mkusanyiko msikitini. Tarawiyh ni alama miongoni mwa alama za Kiislamu zilizo wazi. Hivyo aswali Tarawiyh pamoja na mkusanyiko msikitini. Hata hivyo ikiwa ataiswali nyumbani pia ni sawa.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/liqu-%2020-08-1435.mp3
https://firqatunnajia.com/tarawiyh-nyumbani-au-msikitini-2__trashed/