Swali: Je, inajuzu kwa mwenye hedhi kusoma Qur-aan na Adhkaar?

Jibu: Kuhusu kusoma Qur-aan haijuzu kwa mwenye hedhi mpaka baada ya kutwahirika na kuoga. Ama Adhkaar ni sawa akasoma Takbiyr, Tahliyl, Dhikr, Istighfaar na du´aa. Yote haya yanajuzu ni mamoja kwa mwenye hedhi na wengine.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/liqu-%2020-08-1435.mp3
  • Imechapishwa: 09/04/2015