Du´aa baina ya Iqaamah na swalah

Swali: Je, kuna Du´aa maalum baina ya Iqaamah na Swalah?

Jibu: Hakuna Du´aa maalum. Aombe kwa kile kitachomkuwia wepesi. Huu ni katika wakati wa Du´aa kujibiwa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/liqu-%2020-08-1435.mp3
  • Imechapishwa: 09/04/2015