Swali: Kuna mwanamke baba yake haswali. Je, yeye ndiye atakuwa walii atapotaka kuolewa?

Jibu: Lipelekwe mahakamani. Kusema kwake haswali anakusudia kuwa haswali pamoja na mkusanyiko [msikitini] au haswali kabisa? Ikiwa haswali kabisa ni kafiri. Kafiri hawi walii wa muislamu mwanamke. Lakini alipeleke mahakamani.

  • Mfasiri: Firqatunnajia.com