Muhrim anaruhusiwa kuvaa miwani na saa?

Swali: Je, Muhrim anaruhusiwa kuvaa miwani na saa?

Jibu: Ni sawa. Miwani ni sawa. Kuhusu saa hili linahitajia kuangaliwa kwa kuwa inazuia kiungo. Bora zaidi ni kuiepuka. Lakini ikiwa mtu anaihitajia ni sawa akaivaa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/liqu-%2020-08-1435.mp3
  • Imechapishwa: 09/04/2015