Swali: Je, inapita talaka ya mgonjwa ambaye ambaye anataka kukata roho?

Jibu: Ikiwa mwanamke amemuomba talaka, inapita. Ama ikiwa ni kwa kutaka kwake mwenyewe na maradhi yamemzidi, haipiti. Kwa sababu kuna khatari amefanya hivo ili kumnyima yule mwanamke mirathi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (38)
  • Imechapishwa: 25/06/2023