Talaka kwa ajili ya uzee

Swali: Je, inafaa kwa mume kumtaliki mke wake kwa sababu ya utuuzima wake peke yake?

Jibu: Ndio. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alitaka kumtaliki Sawdah bint Zam´ah (Radhiya Allaahu ´anhaa) wakati alipokuwa mtumzima sana. Matokeo yake akamuomba ambakize na amzawadie usiku wake ´Aaishah (Radhiya Allaahu ´anhaa).

  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (38)
  • Imechapishwa: 25/06/2023