Swali: Ikiwa mwanaume atamwacha mke wake ajivue katika ndoa kwa fidia (الخلع) na mwanamke akashindwa kulipa fidia hii mpaka akatoka ndani ya eda – je, mume anaweza kumrejea pasi na kufunga ndoa mpya au ni lazima kufunga ndoa mpya?

Jibu: Kujivua hakutimii mpaka mwanamke ampe badali. Atakapompa fidia hapo ndipo kumepita kujivua.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (38)
  • Imechapishwa: 25/06/2023