Swali: Mtu aliyerogwa amemtaliki mke wake.

Jibu: Ikiwa akili yake iko pamoja naye talaka imepita.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23651/ما-حكم-طلاق-المسحور
  • Imechapishwa: 12/03/2024