Swali: Ni ipi hukumu ya kuleta Takbiyr za pamoja katika siku za ´iyd?

Jibu: Haijuzu kuleta Takbiyr za pamoja na du´aa za pamoja. Hii ni Bid´ah. Linalotakiwa ni kila mmoja kuleta du´aa peke yake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (69) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-05-28.mp3
  • Imechapishwa: 21/08/2020