Tahajjud ya ambaye kakesha kisha akaswali kabla ya kulala

Swali: Ambaye anakesha usiku kisha akasimama na kuswali mwishoni mwa usiku inazingatiwa ni Tahajjud?

Jibu: Allaah (Ta´ala) amesema:

وَمِنَ اللَّيْلِ فَتَهَجَّدْ بِهِ نَافِلَةً لَّكَ عَسَىٰ أَن يَبْعَثَكَ رَبُّكَ مَقَامًا مَّحْمُودًا

“Amka sehemu ya usiku na uswali ni ziada ya sunnah kwako; bila shaka Mola wako atakuinua cheo kinachosifika.” (17:79)

Tahajjud inakuwa mwishoni mwa usiku.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdullaah bin ´Abdir-Rahmaan al-Ghudayyaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sunan-is-Swalaah https://godian.af.org.sa/sites/default/files/2017-09/sunan.mp3
  • Imechapishwa: 24/10/2022