Swali: Ikiwa huyu msengenywa katika kikao hakuna anayemjua isipokuwa mzungumzaji.

Jibu: Haijalishi kitu. Asimtaje jina yeyote. Aseme kuwa usengenyi ni haramu. Unyoaji ndevu ni haramu. Kula ribaa ni haramu. Asimtaje jina yeyote. Hakuna haja ya hilo.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23507/حكم-الغيبة-لمن-لا-يعرف-الا-للمتكلم
  • Imechapishwa: 01/02/2024