Swali: Nataka kutafuta elimu lakini nina majukumu mengi ya kifamilia. Unaninasihi nini?

Jibu: Kutafuta elimu hakuchukia wakati wako wote. Tafuta elimu katika wakati fulani na utafute riziki wakati mwingine. Tenga wakati kwa kila limoja. Kutafuta elimu hakuchukui muda wako mwingi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (04) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/qir–14331228.mp3
  • Imechapishwa: 17/06/2015