Kumswalia Mtume Ibraahiym na Muusa baada ya kusoma al-A´laa

Swali: Baadhi ya watu wanaposoma Kauli Yake (Ta´ala):

صُحُفِ إِبْرَاهِيمَ وَمُوسَىٰ

“Swahifa za Ibraahiym na Muusa.” (89:19)

Wanasema “Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam”. Je, kusema hivi inajuzu?

Jibu: Halikuthibiti. Haikuthibiti kuwa inasemwa hivi pindi Aayah hii inaposomwa katika swalah ya ijumaa. Halikuthibiti.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (04) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/qir–14331228.mp3
  • Imechapishwa: 17/06/2015