Swali: Ni ipi hukumu ya kuchelewesha kurusha mawe katika masiku ya tashriyq mpaka ile siku ya mwisho pasina udhuru?

Jibu: Ni sawa. Udhuru unaptikana katika msongamano au udhaifu. Kuhusiana na mtu mwenye nguvu haifai kwake kuchelewesha mawe. Anatakiwa kurusha kila siku. Hili ndio la wajibu. Lakini ikiwa ni mgonjwa au mzee au mwanamke asiyekuwa na uwezo, ni sawa akachelewesha kurusha mawe mpaka msongamano ukaisha. Katika hali hii inajuzu kuchelewesha mpaka ile siku ya mwisho kwa sababu ya haja

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (04) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/qir–14331228.mp3
  • Imechapishwa: 17/06/2015