Kununua nyumba kwa njia ya benki

Swali: Ni ipi hukumu ya kununua nyumba kwa njia ya benki?

Jibu: Ikiwa benki ndio imenunua na kuimiliki kikamilifu na kisha ikakuuzia, ni sawa. Ama kuinunua wewe kwa pesa ya benki ambayo unatakiwa kulipa kwa kurudisha ziada, hii ni ribaa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (04) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/qir–14331228.mp3
  • Imechapishwa: 17/06/2015