Swiddiyq Khaan kuhusu hukumu ya kuchinja katika ´Iyd-ul-Adhwhaa

Jopo la wanachuoni wengi wanaonelea kwamba kuchinja katika ´Iyd-ul-Adhwhaa sio lazima. Wachache wanaona kuwa ni lazima. Wachache ndio wamepatia. Haya ndio maoni ambayo ash-Shawkaaniy anaona ni sahihi, kama alivyotaja katika “as-Sayl al-Jarraar”. Lakini wajibu huu unatokana na uwezo. Yule asiyeweza si lazima kwake kuchinja.

  • Mhusika: Imaam Swiddiyq Hasan Khaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Maw´idhwah al-Hasanah, uk. 40
  • Imechapishwa: 11/07/2020