Swali: Je, swawm inafuta madhambi makubwa?
Jibu: Madhambi makubwa hayafutwi isipokuwa kwa tawbah:
إِن تَجْتَنِبُوا كَبَائِرَ مَا تُنْهَوْنَ عَنْهُ نُكَفِّرْ عَنكُمْ سَيِّئَاتِكُمْ
“Mkijiepusha na madhambi makubwa mnayokatazwa basi Tutakufutieni madhambi yenu madogo.” (04:31)
Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Ramadhaan mpaka Ramadhaan nyingine ni kafara ya yaliyo kati yake endapo mtu atajiepusha na madhambi makubwa.”
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Kanda “Liqaa´aatu Ramadhwaaniyyah”, sehemu ya 04
- Imechapishwa: 23/09/2020
Swali: Je, swawm inafuta madhambi makubwa?
Jibu: Madhambi makubwa hayafutwi isipokuwa kwa tawbah:
إِن تَجْتَنِبُوا كَبَائِرَ مَا تُنْهَوْنَ عَنْهُ نُكَفِّرْ عَنكُمْ سَيِّئَاتِكُمْ
“Mkijiepusha na madhambi makubwa mnayokatazwa basi Tutakufutieni madhambi yenu madogo.” (04:31)
Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Ramadhaan mpaka Ramadhaan nyingine ni kafara ya yaliyo kati yake endapo mtu atajiepusha na madhambi makubwa.”
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Kanda “Liqaa´aatu Ramadhwaaniyyah”, sehemu ya 04
Imechapishwa: 23/09/2020
https://firqatunnajia.com/swawm-ya-ramadhaan-na-madhambi-makubwa/