Swali: Ni ipi hukumu mzazi akifungua siku moja au mbili kabla ya kujifungua kwa sababu ya kutokwa na damu kidogo?

Jibu: Ikiwa anapata damu kidogo inazingatiwa ni damu ya uzazi. Katika hali hiyo atalazimika kulipa.

  • Mhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fadhwaaih wa Naswaaih, uk. 78
  • Imechapishwa: 16/03/2024