Swali: Ni ipi hukumu kwa mfungaji kutumia manukato kwa aina zake zote?

Jibu: Manukato hayana neno – Allaah akitaka. Lakini mtu anatakiwa kujiepusha na manukato yenye pombe ni mamoja katika Ramadhaan na nje ya Ramadhaan na khaswa manukato ya ´cologne`. Imejulikana kwamba ndani yake kuna pombe.

  • Mhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fadhwaaih wa Naswaaih, uk. 79
  • Imechapishwa: 16/03/2024