Swalah ya wudhuu´ ni katika swalah zenye sababu

Swali: Swalah inayoswaliwa baada ya kutawadha ni miongoni mwa zile swalah zinazoswaliwa kutokana na sababu?

Jibu: Ndio, ndio maoni ya karibu zaidi na usawa na Allaah ndiye mjuzi zaidi. Hapo ni pale ambapo hakukusudia kufanya hivo. Ametawadha kwa sababu amehitaji kufanya hivo.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24890/هل-صلاة-الوضوء-من-ذوات-الاسباب
  • Imechapishwa: 27/12/2024