Swali: Kuna mtu nguo zake kwa ndani zilipatwa na manii ambapo akaoga josho la janaba. Lakini hata hivyo hakuosha nguo zake zilizopatwa kwa ndani. Ni ipi hukumu ya swalah?

Jibu: Swalah yake ni sahihi. Manii ni masafi.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (06) http://dl.islamweb.net/audiopath/audio/lecturs/aalrrajhee/433/433.mp3
  • Imechapishwa: 30/11/2018