Swali: Wale wanaotukana wanachuoni wetu na kuwaita kwamba ni wasomi wa hedhi[1] na nifasi na wanasema kwamba tusifarikishe kati ya vijana wa Ummah na kwamba eti wanataka umoja. Je, huku ni kukufuru yale aliyoteremsha Allaah na Mtume wake?
Jibu: Hii sio kufuru. Lakini huku ni kusengenya na ni kuvunja heshima ya wanachuoni. Kitendo hichi ni haramu pasi na shaka. Kusengenya kumeharamishwa vibaya sana. Ni wajibu kwao kutubu kwa Allaah (´Azza wa Jall). Isitoshe kuna faida gani ya kuwasema vibaya wanachuoni? Hakuna faida yoyote isipokuwa shari tupu. Anawafanya watu kuwachukia na kuwafanya uaminifu kwao unakuwa mchache. Watu wasiporejea kwa wanachuoni watarejea wapi? Wataenda wapi? Ni khatari kubwa.
[1] Tazama https://www.youtube.com/watch?v=toPN9LCFwi4
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Nawaaqidh-il-Islaam, uk. 126
- Imechapishwa: 30/11/2018
Swali: Wale wanaotukana wanachuoni wetu na kuwaita kwamba ni wasomi wa hedhi[1] na nifasi na wanasema kwamba tusifarikishe kati ya vijana wa Ummah na kwamba eti wanataka umoja. Je, huku ni kukufuru yale aliyoteremsha Allaah na Mtume wake?
Jibu: Hii sio kufuru. Lakini huku ni kusengenya na ni kuvunja heshima ya wanachuoni. Kitendo hichi ni haramu pasi na shaka. Kusengenya kumeharamishwa vibaya sana. Ni wajibu kwao kutubu kwa Allaah (´Azza wa Jall). Isitoshe kuna faida gani ya kuwasema vibaya wanachuoni? Hakuna faida yoyote isipokuwa shari tupu. Anawafanya watu kuwachukia na kuwafanya uaminifu kwao unakuwa mchache. Watu wasiporejea kwa wanachuoni watarejea wapi? Wataenda wapi? Ni khatari kubwa.
[1] Tazama
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Nawaaqidh-il-Islaam, uk. 126
Imechapishwa: 30/11/2018
https://firqatunnajia.com/watu-wasiporejea-kwa-wanachuoni-warejee-kwa-wajinga/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)