Swalah ya mkusanyiko juu ya kikosi cha watu

Swali 198: Kikosi cha watu walioko katika mji wanatakiwa kuswali msikitini au nyumbani pamoja na kwamba wanasikia adhaana?

Jibu: Wana haki ya kuswali kwa kupunguza nyumbani.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 86
  • Imechapishwa: 19/04/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´