Imamu anatosheka na swalah ya faradhi badala ya swalah ya mamkuzi ya msikiti. Maamuma hawaswali swalah ya Sunnah kabla yake, bali wataswali kile kiwango wanachotaka mpaka pale atapojitokeza imamu.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 75
  • Imechapishwa: 04/04/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´