Swali: Takbiyr ya kwanza ya swalah ya jeneza kunasomwa nini na mtu asome du´aa ya kufungulia swalah, kuomba kinga dhidi ya shaytwaan, Basmalah kisha mtu asome al-Faatihah pamoja na Suurah nyingine?
Jibu: Swalah ya jeneza haina du´aa ya kufungulia swalah. Aanze kwa kuomba kinga dhidi ya shaytwaan kisha asome al-Faatihah.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14763
- Imechapishwa: 21/06/2020
Swali: Takbiyr ya kwanza ya swalah ya jeneza kunasomwa nini na mtu asome du´aa ya kufungulia swalah, kuomba kinga dhidi ya shaytwaan, Basmalah kisha mtu asome al-Faatihah pamoja na Suurah nyingine?
Jibu: Swalah ya jeneza haina du´aa ya kufungulia swalah. Aanze kwa kuomba kinga dhidi ya shaytwaan kisha asome al-Faatihah.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14763
Imechapishwa: 21/06/2020
https://firqatunnajia.com/swalah-ya-jeneza-haina-istiaadhah/