Swalah pekee ambayo Mtume aliikidhi na Raatibah yake

Swali: Swalah aliyokosa mtu anailipa kwa Rawaatib zake?

Jibu: Haikupokelewa kutajwa Rawaatib. Sijafikiwa na chochote juu ya hilo. Hata hivyo kuhusu Sunnah ya Fajr aiswali. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) wakati alipoikidhi aliiswali pamoja na Sunnah yake.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23689/هل-تقضى-الرواتب-مع-الصلاة-الفاىتة
  • Imechapishwa: 04/04/2024