Amekumbuka swalah iliyompita katikati ya swalah

Swali: Vipi ikiwa mtu atakumbuka swalah iliyompita katikati ya swalah?

Jibu: Maoni ya karibu – na Allaah ndiye mjuzi zaidi – ni kwamba ataikamilisha kama swalah inayopendeza. Baada ya hapo ataswali ile swalah iliyompita, kisha ndio aswali swalah ya wakati wa sasa.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23690/حكم-من-ذكر-فريضة-فاىتة-اثناء-اخرى
  • Imechapishwa: 04/04/2024