Swali: Je, ni wajibu kwa mtu anayesumbuliwa na tawahudi kutekeleza zile swalah tano?

Jibu: Muda wa kuwa yuko na akili, ni wajibu kwake kuswali. Maadamu yuko na akili, ni lazima kwake kuswali swalah tano. Lakini ikiwa amepoteza akili, halazimiki kuziswali.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (41)
  • Imechapishwa: 16/11/2023