Swali: Katika mji wangu misikiti mingi ina makaburi. Je, swalah inasihi kwenye misikiti hii kwa nisba yetu?
Jibu: Hapana. Swalah haisihi kwenye makaburi, ni mamoja yakiwa kwenye misikiti au nje ya misikiti. Usiswali kwenye makaburi. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amekataza kuswali kwenye makaburi na kuyafanya ni mahala pa kuswalia. Hii ni njia inayopelekea katika shirki. Makatazo yanapelekea katika kuharibika. Swali kwenye msikiti usiokuwa na makaburi.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (31) http://alfawzan.af.org.sa/node/2143
- Imechapishwa: 12/07/2020
Swali: Katika mji wangu misikiti mingi ina makaburi. Je, swalah inasihi kwenye misikiti hii kwa nisba yetu?
Jibu: Hapana. Swalah haisihi kwenye makaburi, ni mamoja yakiwa kwenye misikiti au nje ya misikiti. Usiswali kwenye makaburi. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amekataza kuswali kwenye makaburi na kuyafanya ni mahala pa kuswalia. Hii ni njia inayopelekea katika shirki. Makatazo yanapelekea katika kuharibika. Swali kwenye msikiti usiokuwa na makaburi.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (31) http://alfawzan.af.org.sa/node/2143
Imechapishwa: 12/07/2020
https://firqatunnajia.com/swalah-kwenye-misikiti-ya-makaburi/