Swali: Naweza kuswali kwenye upande mmoja wa mkeka ikiwa katika upande mwingine kuna najisi?
Jibu: Ndio. Ikiwa upande mmoja ndio una najisi na upande mwingine ni msafi swali kwenye upande huo. Haina neno. Najisi haisambai katika kitu kikavu.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (02) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdh–14340204.mp3
- Imechapishwa: 25/08/2020
Swali: Naweza kuswali kwenye upande mmoja wa mkeka ikiwa katika upande mwingine kuna najisi?
Jibu: Ndio. Ikiwa upande mmoja ndio una najisi na upande mwingine ni msafi swali kwenye upande huo. Haina neno. Najisi haisambai katika kitu kikavu.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (02) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdh–14340204.mp3
Imechapishwa: 25/08/2020
https://firqatunnajia.com/swalah-katika-mkeka-ulio-na-najisi/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)